Utata mtupu Nassari kuvuliwa ubunge

HATUA ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, kutangaza kumvua ubunge mbubge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Samwel Nassari, limesheheni utata. Anaripoti Mwandishi Wetu kutoka Dodoma … (endelea). Ndugai alitangaza kumvua Nassari ubunge wake, kufuatia madai kuwa mbunge huyo ameshindwa kuhudhuria mikutano mitatu ya Bunge mfululizo, jambo ambalo ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News