Utekelezaji Maagizo Ya Rais: Timu Ya Wizara Ya Kilimo Yatua Lindi Na Mtwara kuhakiki Korosho zilizopo katika maghala makuu.

Na Mathias Canal-Wizara ya Kilimo, MtwaraIkiwa ni siku moja tu mara baada ya kuapishwa kuongoza wizara ya kilimo katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam Jana Jumatatu Novemba 12, 2018, Waziri wa kilimo Mhe Japhet Ngailonga Hasunga (Mb) Leo Tarehe 13 Novemba 2018 ameongoza viongozi wakuu wa Wizara yake kutembelea katika Mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma kwa ajili ya kuhakiki Korosho zilizopo katika maghala makuu.Katika msafara huo Waziri Hasunga atatembelea Mkoani Mtwara ambapo ameambatana na Naibu Waziri wa kilimo Mhe Innocent Lugha Bashungwa na Katibu Mkuu Mhandisi Mathew...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Tuesday, 13 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News