Uteuzi Mpya Uliofanywa Leo na Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Jaji Mstaafu Steven Bwana kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma kwa kipindi cha miaka 3.Pamoja na kumteua Mwenyekiti wa Tume, Rais Magufuli amewateua Makamishna 5 wa Tume ya Utumishi wa Umma.Walioteuliwa ni George D. Yambesi, Balozi Mstaafu John Michael Haule, Immaculate P. Ngwale, Yahaya F. Mbila, Balozi Mstaafu Daniel Ole Njoolay.Uteuzi huu wa Mwenyekiti na Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma umeanza tarehe 22 Novemba, 2018....

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Tuesday, 4 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News