Uteuzi Mpya Uliofanywa na Rais Magufuli Leo

Rais Magufuli  amemteua Jaji Mstaafu Ibrahim Sayida Mipawa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma.  Jaji Mstaafu Mipawa anachukua nafasi ya Jaji Mstaafu Januari Msofe ambaye ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria....

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Tuesday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News