Uteuzi Uliofanywa na Rais Magufuli Muda Mfupi Kabla ya Kuwaapisha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanazania John Pombe Magufuli amefanya uteuzi mwingine na kumteua Balozi Dkt.  Aziz Ponary Mlima kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uganda.Kufuatia uteuzi huo Balozi Mlima anatarajia kuapishwa leo Septemba 12, 2018 Ikulu Chamwino, Jijini Dodoma.Pia Septemba 3, 2018 Rais Magufuli alifanya uteuzi wa Dkt. John Antony Kiang’u Jingu kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ambapo kabla ya uteuzi huo Kingu alikuwa Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambaye naye atakula kiapo leo.Aidha, naye Kamishna...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News