Uvivu wa Vijana wa Kiume Mkoani Rukwa Wamkasirisha RC Wangabo

Na.Rukwa  Kwetu.Mkuu wa mkoa wa Rukwa mh. Joachim Wangabo amesikitishwa na uvivu wa kutofanya kazi kwa vijana wa kiume katika mkoa hali inayopelekea miradi mingi inayotekelezwa na serikali katika mkoa huo kwa kutumia force account inafanywa na vijana wanaotoka nje ya mkoa huo jambo ambalo sio madhumuni ya serikali ya awamu tano.Amesema kuwa lengo la ujenzi kwa kutumia force account ni kuhakikisha kwamba wananchi wa maeneo husika wanapata manufaa ya ujenzi ule na kufanya ujenzi huo kuwa ni wa kwao na kujivunia kwamba walishiriki tangu mwanzo wa ujenzi huo kuanzia...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News