Uzalishaji wa Mazao ya Chakula Waimarika Nchini

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO, DodomaWaziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa amesema kuwa hali ya uzalishaji wa mazao ya chakula na upatikanaji wake nchini umeendelea kuimarika.Waziri Mkuu ameyasema hayo leo mjini Dodoma alipokuwa akitoa hoja ya kuahirisha Mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kutangaza kuanza kwa mkutano ujao mnamo Novemba 6 mwaka huu.Mhe. Majaliwa amefafanua kuwa tathmini iliyofanyika mnamo mwezi Juni, 2018 imeonyesha kwamba uzalishaji wa mazao ya chakula katika msimu wa mwaka 2017/18 ni tani milioni 16.9 ambapo kati ya hizo tani milioni 9.5...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Friday, 14 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News