VIDEO: ACT- Wazalendo wachimbua yao ripoti ya CAG

Chama cha ACT- Wazalendo jana kilibainisha kasoro kadhaa katika makusanyo na udhibiti wa fedha za umma, kikiungana na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kutaka kuundwa kwa mifumo thabiti ya usuluhishi wa fedha kutoka maeneo tofauti....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Sunday, 14 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News