VIDEO- Banda, Kichuya waikosa AFCON, Yussuf aula

Wakati benchi la ufundi la timu ya Taifa, ‘Taifa Stars’ likitoa orodha ya mwisho ya wachezaji 23 watakaoshiriki Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON), kiungo mshambuliaji Shiza Kichuya, beki kiraka Abdi Banda na mshambuliaji Shaban Chilunda ni miongoni mwa nyota tisa walioenguliwa kikosini....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News