VIDEO: Chadema yamtaka Maalim Seif

Tangu kuibuka kwa mgogoro mkubwa wa kisiasa katika historia ya Chama cha Wananchi (CUF) na hasa baada ya Profesa Ibrahim Lipumba kutambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa kama mwenyekiti wake, wachambuzi wa masuala ya kisiasa walitaja mambo matano ambayo katibu mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad alikuwa hana budi kuyafanya ili kubaki hai kisiasa....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News