VIDEO: Kaimu Rais wa Simba azungumzia Mo Dewji kutekwa

Kaimu Rais wa klabu ya Simba, Salim Abdallah 'Try Again' akiwa Cape Verde amezungumzia tukio la kutekwa kwa mwekezaji wa timu hiyo, Mohammed Dewji ‘Mo’ akiwataka Wana-Simba kuwa watulivu....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Thursday, 11 October

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News