VIDEO: Lowassa afunguka hatima yake Chadema

Edward Lowassa, Waziri Mkuu wa zamani amefunguka kuhusu hatima yake ndani ya Chadema akieleza kuwa hana mpango wa kukihama chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania huku akiwakumbuka wananchi walimpigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015. Lowassa alishika nafasi ya pili katika uchaguzi huo nyuma ya Rais John Magufuli....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News