VIDEO: Lugola aja na staili mpya ya kichungaji kumsifia Rais Magufuli

Waziri  wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola amekuja  na staili mpya ya kichungaji kumsifia Rais Magufuli kwa utendaji uliotukuka huku akimhakikishia ataendelea kupambana na mafisadi yote yanayokula fedha za umma.Lugola amefunguka hayo Leo Septemba 10, 2018 wakati Rais Magufuli akizindua ujenzi wa Daraja la  mto Sibiti linalounganisha mkoa wa Simiyu na Singida. ==>>Msikilize hapo chini...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News