VIDEO: Ndugai amtaka CAG akajieleze kwa Magufuli, Assad amjibu

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Job Ndugai jana alitumia mkutano wake na waandishi wa habari kujibu kauli ya Profesa Mussa Assad kuwa ataendelea kutumia neno “dhaifu”, akimuonya kuwa kufanya hivyo kunaweza kusababisha matatizo zaidi....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News