VIDEO: Wabunge wahofia Tanzania kuwa koloni la China

Baada ya madai ya baadhi ya nchi Barani Afrika kushindwa kulipa mikopo waliyokopa China na kuhataricha uchumi wa nchi hizo, Wabunge wa Tanzania wameingia hofu na kuitaka serikali ieleze ni tahadhari gani zimechukuliwa ili Tanzania isiwe koloni la China. Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji ameeleza ukweli wa mambo hapo chini...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News