VIDEO: Wapinzani waipeleka Serikali ya Tanzania mahakamani

Serikali ya Tanzania imepewa siku 45 na Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) kujibu madai ya vyama vinane vya upinzani vinavyopinga Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa, baada ya vyama hivyo kufungua kesi Februari 12, 2019....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News