Video ya majibizano kati ya majeshi ya Iran na yale ya Uingereza kabla ya meli ya Uingereza kukamatwa

Sauti zilizorekodiwa zimebaini majibizano makali kati ya wanamaji wa Uingereza na wanajeshi wa Iran waliokua ndani ya meli ya kijeshi, muda mfupi kabla ya meli ya mafuta iliokuwa na bendera ya Uingereza kukakamtwa...

read more...

Share |

Published By: BBC Swahili - Sunday, 21 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News