Video ya Mbowe: Ni kusuka au kunyoa

SWALI ni je, video iliyopokewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ikidaiwa kuonesha matukio yanayomuhusu Freeman Mbowe na wenzake kwenye mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi mdogo Jimbo la Kinondoni 201 8 itaoneshwa? Anaandika Faki Sosi … (endelea). Katika kesi hiyo namba 112 ya uchochezi, Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Taifa, ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News