Vigogo wa Rwanda waliomhonga refa wa mchezo wao dhidi ya Ivory Coast watiwa mbaroni

Mabosi wa chama cha soka cha Rwanda FERWAFA waliokumbwa na kashfa ya kuhonga refa kwa sasa wanatumia ndoo za korokoni. Tumezoea kusikia kuwa marefa wamehongwa lakini hatujawahi kusikia wanaowahonga ni akina nani. Kule Rwanda hali imekuwa tofauti kidogo. Mwamuzi aliyehongwa atoboa siri. Ferwafa ipo kwenye moshi wa matakataka na hatujui kama viongozi wake watatoka salama, Francois Regis Uwayezu kulia pichani na kamishna wa mashindano Eric Ruhamiriza kushoto pichani wamewekwa kwenye kiti cha moto baada ya kukumbwa na kashfa ya kuhonga waamuzi. Kwani mchongo mzima upoje? Hawa viongozi wa Rwanda walimhonga...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Thursday, 13 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News