Viongozi CCM wampokea kada Chadema

BENJAMIN MASESE -RORYA ALIYEKUWA kada maarufu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Rorya, Godfrey Mirondo, amewatoa machozi ya furaha wanachama na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya kutangaza kujiunga na chama hicho. Mirondo alijiunga CCM juzi na kupokewa na Mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Rorya, Charles Ochele, wakati wa mkutano wa hadhara, Kijiji cha Nyamtinga. Baadhi ya viongozi wakiongozwa na Diwani wa Kata ya Nyamtinga, Chacha Nyambaki, walishangilia kwa kunyosha mikono juu kama ishara ya kumshukuru Mungu na kwenda kumkumbatia Mirondo. Akizungumza baada ya...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 3 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News