Viongozi Simba kushuhudia Simba ikipangiwa timu Misri

Elizabeth Joachim, Dar es salaam Ofisa Mtendaji Mkuu, Crescentius Magori na Mwenyekiti wa timu ya Simba, Swedi Mkwabi, wapo nchini misri kuhudhuria hafla ya robo fainali ya ligi ya Mabingwa Afrika itakayofanyika Machi 20 kwenye hotel ya Marriot iliyopo Jijini Cairo nchini humo. Viongozi hao wa Simba wameondoka Tanzania Machi 19 kwenda nchini huko kwenye hafla hiyo iliyoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika. Simba itapangwa katika droo hiyo baada ya kuvuka hatua ya robo fainali kwa kuipiga bao 2-1 timu ya AS Vita Club ya Congo, DRC. Katika taarifa iliyotolewa...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Tuesday, 19 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News