Viongozi Simba, Yanga wazungumzia kutekwa MO Dewji

Viongozi wa watani wa jadi, Simba na Yanga kwa nyakati tofauti leo wamezungumzia tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu Mohamed Dewji ‘Mo Dewji’ na kuwataka mashabiki wa soka kuwa na subira na kuungana kuhakikisha anapatikana salama...

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Thursday, 11 October

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News