Viwanja Tanzania kukaguliwa

Ujumbe wa shirikisho la soka Afrika (CAF) unatarajiwa kutua nchini December 15 kwa ajili ya kutembelea na kukagua maandalizi uenyeji wa fainali za AFCON U17 2019. “December 15 au 16 wanaingia viongozi wa Caf kwa ajili ya ukaguzi wa miundombinu na December 20 kuna draw, ni kitu kikubwa sana katika mpira kwa hiyo macho yote duniani yataelekezwa Tanzania wakati tunafanya draw ya mashindano AFCON ya mwakani”-Dr. Harrison Mwakyembe, Waziri mwenye dhamana ya michezo.” “Sisi tunajiandaa kwa sababu wanakuja kukagua kama kweli tumepiga hatua nashukuru mabadiliko makubwa yamefanyika Chamazi, mabadiliko makubwa...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News