WAANDAMANAJI WAHUKUMIWA VIFO MISRI

CAIRO, Misri SERIKALI nchini Misri, imewatia hatiani watu zaidi ya 700 wa kundi la Muslim Brotherhood, ambao walishiriki maandamano yaliyosababisha kuondolewa madarakani aliyekuwa kiongozi wa nchi hii, Rais Mohammed Morsi, mwaka 2013. Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la Uingereza, BBC, katika hukumu hiyo ya juzi, watu 75 walihukumiwa vifo na huku wengine  47 wakihukumiwa kifungo cha maisha jela wakiwamo viongozi wa Kiislamu. Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International, limeiita hukumu hiyo si ya haki na imevunja katiba ya nchi hii. Ghasia hizo ambazo zilizuka mwaka  2013...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News