Wabunge 7 Chadema kuvuliwa nyadhifa

Hali si shwari ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini baada ya kamati ya utendaji ya chama hicho kupendekeza kwa kamati kuu kuvuliwa nafasi za uongozi wa chama wabunge saba na kuvuliwa uanachama meya mmoja wa jiji kutokana na makosa ya kinidhamu....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Wednesday, 22 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News