Wabunifu waliobuni mtambo mdogo wa kufua umeme Wapewa Mamilioni ya Mtaji....Rais Magufuli Atoa Maagizo Mazito TANESCO

Rais John Magufuli ameliijia juu Shirika la umeme nchini (Tanesco) kwa kushindwa kuwaunga mkono wabunifu waliobuni mtambo mdogo wa kufua umeme kwa kutumia maji ya mto Mkoani Njombe, na kuwataka kuwalipa wabaunifu hao fedha watakazozitumia kama kianzio cha kununua vifaa kwaajili ya shughuli zao.Ametoa tamko hilo leo Alhamisi Juni 13, Ikulu jijini dare s salaam alipokua akizungumza na wananchi hao John Mwafute maarufu Mzee Pwagu na Ngairo ambapo ameamuru shirika hilo kuondoka na wabunifu hao haraka iwezekanavyo na kwenda kukagua mradi huo ili kujua namna unavyofanya kazi.“Tanesco hakikisheni mnaondoka na...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Thursday, 13 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News