Wachezaji Simba waishtukia Yanga

WINFRIDA MTOI LICHA ya kusifikiwa wana kikosi bora, lakini wachezaji wa Simba wameanza kuihofia Yanga kuwa ni moja ya timu itakayowapa presha msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Mashabiki wa Yanga na Simba wapo katika ubishani mkubwa kila mmoja akitambia kikosi chake kuwa ni bora zaidi kutokana na usajili waliofanyika. Wakati Ligi Kuu ikipangwa kuanza Agosti 23, mwaka huu, ukitanguliwa na mchezo wa Ngao ya Jamii, utakaopigwa Jumamosi, baadhi ya wachezaji wa Simba wamefunguka juu vikosi hivyo viwili pinzani. Nyota hao ambao hawakutaka majina yao yaandikwe gazetini  kwa kulinda...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Tuesday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News