Wachezaji wa kigeni wanavyozidi kuiua La Masia katika ramani ya soka la Hispania

Kwa siku za hivi karibuni Real Madrid imeipiga bao Barcelona kwa kutoa idadi ya wachezaji wengi wanaounda kikosi cha timu ya taifa ya Hispania. Kuna mabadiliko, siku za nyuma wakati Hispania wanashinda Euro na kombe la dunia wachezaji wa Barcelona ndio walikuwa uti wa mgongo wa timu ya taifa ya Hispania. Wachezaji hao walikuwa wametengenezwa kwenye academy yao ya La Masia akina Xavi, Puyol, Valdes (golikipa namba mbili nyuma ya Iker Casillas), Pedro, Iniesta, Busquest, Fabregas. Kwa sasa kumetokea mabadiliko, wachezaji hao wakati wao umefika kikomo wameondoka. Sasa hivi Barcelona...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News