Wachimbaji wadogo walalamikia zuio kuingia ukuta wa Tanzanite

Wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite (WanaApolo) wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wamezuiwa kuingia ndani ya ukuta unaozunguka migodi ya madini ya Tanzanite hadi waonyeshe mikataba ya kazi baina yao na wamiliki wa migodi yao....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News