Wachina wafukuzwa Kenya kwa kuuza bidhaa sokoni kinyume cha sheria

Waziri wa mambo ya ndani Fred Matiang'i amewatimua nchini humo wafanyabiashara saba wa Kichina waliopatikana na hatia ya kufanya biashara zao kinyume cha sheria...

read more...

Share |

Published By: BBC Swahili - Thursday, 13 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News