Wadau wa tenisi wasema Serena Williams alibaguliwa kijinsia

Serena ameadhibiwa kwa kukiuka kanuni ya ukufunzi,kutoa matamshi ya matusi na kumuita muamuzi ''mwizi'' katika mchezo wa fainali ya Mashindano ya Wazi ya Marekani (US Open) alioupoteza dhidi ya Naomi Osaka wa Japan....

read more...

Share |

Published By: BBC Michezo - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News