Wahudumu wa Vuiongozi na Wageni Wapata Mafunzo ya Mapishi na Ukarimu Kutoka kwa Wakufunzi wa China wa Taasisi ya (CNRIFFI).

 BALOZI Mdogo wa China anayefanyia kazi zake Zanzibar Balozi Xie Xiaowu akizungumza wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa Mafunzo ya Mapishi na Ukaramu katika kuhudumia Viongozi na Wageni yanayotolewa na Wakufunzi kutoka Nchini China, ufunguzi huo umefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.Msaidi Rais wa Taasisi ya China Natinal Research Institute of Food and Fermentation Industries Corporation Ltd (CNRIFFI) Bibi. Luo Yanquin akizungumza wakati wa ufunguzi huo wa mafunzo hayo ya Mapishi na Ukaramu yanayotolewa na Taasiosi yao kwa Wahudumu wa Viongozi wa Serikala na Wageni Zanzibar,...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Sunday, 9 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News