Waitara awaweka njia panda Ma-RC, DC, DED

Wanafunzi 133,747 sawa na asilimia 18.24  waliofaulu mtihani wa darasa la saba mwaka jana hawakupata nafasi ya kuchaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza  katika shule za sekondari za Serikali mwaka 2019 kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa, jambo lililomfanya Waitara kuwatoa hofu wazazi....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News