WAJASIRIAMALI WAMEBEBA UCHUMI TANZANIA

Katibu wa Utawala wa Taasisi ya Ubunifu wa Biashara ya Kilimo, Sandra Nassoro, akitoa maelezo namna matumizi ya bidhaa wanazotengeza hivi karibuni. Na Bakari Kimwanga – DAR ES SALAAM TANZANIA ni moja ya nchi barani Afrika ambazo uchumi unakuwa kwa kasi. Tangu mwaka mwaka 2017 kasi ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania imefikia asilimia 7 na moja ya chachu ya kasi hiyo inatajwa kuwa ni biashara ndogondogo ambazo kwa kiasi kikubwa zinamilikiwa na wanawake. Takwimu za usawa wa kijinsia katika ajira zinaonyesha kwamba kufikia mwaka wa 2014 Watanzania milioni 2.1...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News