Wakili Medium Mwale Ahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Ya Milioni 200

Jaji Issa Maige wa Mahakama Kuu Arusha, amemuhukumu wakili Medium Mwale kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya Sh 200 milioni kutokana na kosa la utakatishaji fedhaPia amemuhukumu kifungo cha miaka saba ambacho ameshakitumikia kutokana na makosa mengine.Wakili Mwale na wenzake, Boniface Mwimbwa aliyekuwa meneja wa Benki ya CRDB tawi la Meru na Elias Ndejembi wanatuhumiwa kwa makosa 41 ikiwemo kughushi na utakatishaji fedha. ...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 3 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News