Walezi wa Vituo Vya Watoto Yatima Wapata Elimu ya Kukabiliana na Maafa.

Na Khadija Khamis –Maelezo Zanzibar  10/07/2019.Mkurugenzi Mtendaji wa Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar Ndg.Makame Khatib Makame amesema elimu ya majanga ya maafa ni muhimu kupewa  watoto na walezi ili kuweza kujikinga pindipo yakitokea .Akifungua mafunzo ya siku moja ya kutoa elimu kwa walezi na watoto wa Kituo cha kulelea Watoto Yatima Mazizini ili kujua jinsi ya kukabiliana na maafa ikiwemo mtetemeko wa ardhi ,moto ,mafuriko pamoja na kimbunga .Alisema kuwa watoto, wazee, walemavu na mama wajawazito ni waathirika wakubwa hivyo wakipata elimu itawasaidia kujiokoa na majanga na kusaidiana na...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 10 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News