Walipa mamilioni kukwepa kifungo cha miaka miwili jela

Mfanyabiashara Kamaljit Hanspaul (58) na raia watatu wa kigeni wamehukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kulipa faini ya Sh60 milioni  au kwenda jela miaka miwili kila mmoja baada ya kukutwa na hatia ya kuajiri na kufanya kazi nchini bila vibali....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News