Wamarekani milioni 40 ni masikini

NA HILAL K SUED NA MITANDAO Mapema mwezi uliopita Ofisi ya Sensa ya Marekani (US Census Bureau) ilitoa takwimu zake kuhusu hali ya umasikini nchini humo kwa mwaka 2017. Kikubwa katika takwimu hizo ni kwamba Wamarekani milioni 39.7 (takriban asilimia 12.3 ya watu wote nchini humo au mmoja kati ya watu nane) walikuwa ni watu masikini. Hata hivyo habari njema katika ripoti hiyo ni kwamba kiwango cha umasikini kimepungua nchini humo tangu 2010 ambako kilikuwa 15.1, na sasa hivi kiwango hicho kiko kama kilivyokuwa kabla ya Mtikisiko wa Fedha wa...

read more...

Share |

Published By: Rai - Thursday, 11 October

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News