Wamiliki viwanda vya korosho waiangukia Serikali, JWTZ watua kuzisomba

Wakati Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa akipokea magari matano kati ya 75 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kwa ajili ya kusomba korosho, baadhi ya wamiliki wa viwanda wameiangukia Serikali wakitaka iwauzie korosho....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Thursday, 15 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News