Wamiliki wa Viwanda Wanaokiuka Sheria ya Mazingira Kuchukuliwa Hatua Kali za Kisheria

Serikali imetoa wito kwa wamiliki wa viwanda kuzingatia utekelezaji wa Sheria ya Mazingira na Mikakati mbalimbali iliyopo kwa ajili ya kuwezesha usimamizi endelevu wa hifadhi ya mazingira kwa faida yetu na ya vizazi vijavyo. Hayo yamesemwa leo bungeni Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Sima wakati wa kipindi cha maswali na majibu na kusisitiza kuwa Tanzania inachangia kiasi kidogo sana katika tatizo la uzalishaji wa gesijoto ambazo ndio chanzo cha mabadiliko ya   tabia nchi. Hata hivyo, pamoja na kuchangia kidogo kiasi hicho, Tanzania...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News