Wanachama 13 CCM Wajitosa Kumrithiu Tundu Lissu

Wanachama 13 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamejitokeza kuwania nafasi ya kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho, kwenye kinyang’anyiro cha kuwania ubunge Jimbo la Singida Mashariki,baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Tundu Lissu kupoteza sifa.Waliochuku fomu, ni Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Miraji Mtaturu na Mkuu wa Mkoa wa  Songwe, mstaafu Luteni Chiku Galawa.Wengine ni Mwanahamisi Mujori, Moris Mukhoty, Shilinde Kasure, Jeremia Ihonde, Lazaro Msaru, Hamisi Maulidi, Mariamu Nkumbi, Martini Lissu, Sylivester Meda, Thomasi Kitima na Emmanuel Hume.Akitoa taarifa wilayani Ikungi jana, Katibu CCM Wilaya hiyo, Noverty Kibaji alisema...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News