Wanafunzi 30 Wanusurika Kifo Dereva Akichat na Simu

Jumla ya wanafunzi 30 wa shule ya msingi binafsi ya Little Treasure, iliyoko Manispaa ya Shinyanga, wamenusurika kifo baada ya kupata ajali wakirejea nyumbani kuto shule.Chanzo cha ajali ni dereva wa basi hilo, Emmanuel Faustine (32), ambaye alikuwa akichati na simu ya mkononi huku akiendesha, Januari 10 majira ya ya saa 9 alasiri katika eneo la Kalogo mjini humo.Akizungumzia ajali hiyo, Kamanda wa Polisi Mkoani Shinyanga, Kamishina Msaidizi (ACP) Simon Haule, amesema wanafunzi 30 walikuwa wamesalia kwenye basi hilo na hakuna aliyepoteza maisha zaidi ya kupata majeraha sehemu mbalimbali za...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News