Wanafunzi 5,000 Manyara uhakika kuendelea kidato cha kwanza

Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, Missaile Mussa amewaagiza wakurugenzi  na watendaji wa Halmashauri za mkoa huo kuhakikisha wanafunzi 5,000 waliokosa nafasi baada ya kuchaguliwa kuendelea na kidato cha kwanza,  wanaanza masomo mwaka 2019....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Sunday, 16 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News