Wanafunzi 8,000 warejeshwa shuleni

Na Allan Vicent -Tabora WANAFUNZI  8,250 waliokuwa wameacha shule kwa sababu mbalimbali, zikiwamo umaskini wa wazazi wao, kuhama makazi au kutumikishwa katika shughuli za kilimo na ufugaji mkoani Tabora, wamerejeshwa shuleni. Hayo yalisemwa juzi mjini hapa na Ofisa Elimu Taaluma  Mkoa wa Tabora, Arone Vedastus wakati wa kikao kazi cha kujadili mpango mkakati wenye lengo la kutokomeza mimba na ndoa za utotoni katika jamii kilichoandaliwa na Shirika la Save The Children. Alisema  watoto wengi, hasa wanaotoka familia zenye hali duni ya maisha au familia za wafugaji, wamekuwa wakiachishwa shule kwa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 9 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News