Wanahabari wapata ajali msafara wa JPM

Waandishi wa habari akiwemo wa gazeti la Mwananchi waliokuwa katika msafara wa ziara ya Rais John Magufuli wilayani Meatu mkoani Simiyu wamepata ajali baada ya gari walilokuwa wamepanda kugongwa na gari jingine....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Sunday, 9 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News