Wananchi walivyozungumzia kauli ya Jaguar

Licha ya Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa kuwatuliza Watanzania kuhusu kauli ya mbunge wa Sterehe, Charles Njagua Kanyi maarufu Jaguar aliyewapa saa 24 raia wa kigeni nchini humo kuondoka ikiwemo Watanzania, mbunge huyo ameendelea kushambuliwa mitandaoni....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Wednesday, 26 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News