Wananchi watoa ya moyoni bajeti 2019/20

BAADHI ya wananchi waliotoa maoni kuhusu mapendekezo ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2019/20 mkoani Kagera na Dodoma, wamekuwa na maoni tofauti. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Julius Kato, Mkazi wa Manispaa ya Bukoba leo tarehe 14 Juni 2019 amesema, bado kuna mambo ambayo yanakuwa mzigo mkubwa kwa wananchi, kwa kuwa vitu vingi vimekuwa vile vile ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Friday, 14 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News