Wananchi wazungumzia msuguano wa Spika Ndugai, Profesa Assad

Kauli ya Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai kumtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad kwenda kujieleza kwa Rais John Magufuli, imepokelewa kwa mtazamo tofauti na wananchi huku wakieleza inalenga kuzima mjadala kuhusu taarifa ya hesabu iliyotolewa....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News