Wanaodaiwa kusafirisha dhahabu kupandishwa kizimbani Mwanza

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Jonathan Shanna amesema leo Ijumaa Januari 11, 2019 watuhumiwa 12 wanaodaiwa kusafirisha shehena ya dhahabu kutoka Mwanza kwenda Geita watafikishwa mahakamani, kusomewa mashtaka yanayowakabili  ...

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News