Wanaume wanaonyonya maziwa wanawake waonywa

Francis Godwin-Iringa WANAUME wenye tabia ya kunyonya maziwa ya wanawake pindi wanapokuwa kwenye jukumu la kunyonyesha watoto wao, wametakiwa kuacha kwani kufanya hivyo ni kosa kisheria. Imeelezwa kuwa kufanya hivyo ni ukatili wa kijinsia ambao hufanyiwa wanawake na watoto katika ngazi ya familia. Hayo yalisemwa jana mjini hapa na Ofisa Lishe wa Mkoa wa Iringa, Neema Mtekwa, alipokuwa akijibu maswali kwa waandishi wa habari katika warsha ya siku moja, ikiwa ni maandalizi ya Wiki ya Unyonyeshaji Duniani. Neema alisema wanaume wenye tabia za kunyonya maziwa ya wake zao wakati wakiwa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 16 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News